Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,928
- 2,867
Thanks nimekujibuNimeku Pm
Mkuu ninaomba nikutafuteNimeku Pm
Kuna dalili ya utapeliHabari wakuu, Nina vacant position za madereva wa Pulling na Semi-Trailer.
Gari zinafanya local trips na base ya kampuni ni Dar es salaam.
Kama wewe ni dereva au unamfahamu dereva mzuri, please ni PM CV yake na number yake ya simu.
Kigezo kingine cha kupewa kazi ni kuwa na mdhamini anayeeleweka, au mwajiriwa wa serikali.
Asante.
Weka namba yako na unataka madereva wangapiKuna dalili ya utapeli