Nahitaji display fridge za Coca cola au Pepsi au yoyote ya bei rahisi kwa Dar/Kilimanjaro

stoneblock

Senior Member
Joined
Feb 28, 2023
Posts
126
Reaction score
371
kama heading inavyojielezea ninahitaji fridge la bei rahisi kwaajili ya dukani iwe ya kampuni yoyote na iwe mikoa ya Dar Kilimanjaro na Arusha mahali ambapo nafanyia biashara ni Njiapanda ya Himo kwahiyo iwe seh yeyote ambayo fridge itafika kwa urahisi

0682770944
 
Hata usiseme suala la bei rahisi.

Nnavyojua mie ni bure ila tu vigezo na masharti kuzingatiwa.

Nenda depot ya hizo kampuni uulizie utaratibu.
 
kama heading inavyojielezea ninahitaji fridge la bei rahisi kwaajili ya dukani iwe ya kampuni yoyote na iwe mikoa ya Dar Kilimanjaro na Arusha mahali ambapo nafanyia biashara ni Njiapanda ya Himo kwahiyo iwe seh yeyote ambayo fridge itafika kwa urahisi

0682770944
Hizi hutolewa bure.... iliyo rahisi kupata ni ya bonite pepsi ni wasumbufu
 
kwa sasa hawatoi wamesitisha kwa muda me nahitaji la mtu aliyeacha biashara
 
Back
Top Bottom