Nahitaji documents zipi ili kuanza kupack vyakula??

Nahitaji documents zipi ili kuanza kupack vyakula??

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Wakuu naomba msaada ofisi gani nahitaji kupita ili niweze kupata kibali cha kupaki chakula cha binadamu??
Asante.
 
Tfda,
TBS,
tra,
halmashauri ya wilaya uliopo,
serikali ya mtaa(m/kiti wa serikali ya mtaa na afisa afya)

Watajazilizia wengine......
 
Back
Top Bottom