bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,370 Reaction score 3,962 Jun 23, 2015 #1 Wakuu naomba msaada ofisi gani nahitaji kupita ili niweze kupata kibali cha kupaki chakula cha binadamu?? Asante.
Wakuu naomba msaada ofisi gani nahitaji kupita ili niweze kupata kibali cha kupaki chakula cha binadamu?? Asante.
geofreyngaga JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 658 Reaction score 946 Jun 23, 2015 #2 Tfda, TBS, tra, halmashauri ya wilaya uliopo, serikali ya mtaa(m/kiti wa serikali ya mtaa na afisa afya) Watajazilizia wengine......
Tfda, TBS, tra, halmashauri ya wilaya uliopo, serikali ya mtaa(m/kiti wa serikali ya mtaa na afisa afya) Watajazilizia wengine......