Search humu thread za hayo mambo zipo nyingi. Anyway, kwanza unatakiwa kuwa na kadi ya benki ambayo imeunganishwa na VisaCard au MasterCard. Hizo hatua fuatilia benki watakusaidia. Baada ya hapo rudi nikujuze zaidi. Au umeshakamilisha la kadi ya benki?