kwa uelewa wa hapa na pale ni kuwa mashine hizi hutumika na mawakala wa huduma za malipo ambapo wateja watakuja kulipia huduma kama za Dstv, Kulusha vocha , kufanya malipo ya kodi za serikali kama za magari , pikipiki n.k. kuhusu faida zake hapa zinahusu miamala unayofanya kuna malipo yake.