Nahitaji elimu zaidi katika matumizi ya solar

Nilisema hapo juu friji na pasi avitoe, Kuna jamaa likanivamia kuleta mdomo, sola nimetumia tangia 2015 nina uzoefu nazo
Huna unachojua kwenye solar energy! Unafikri size ya solar inamuliwa tu kwa kuangalia taa na TV?
 
Angalau wewe mkuu unaweza kumweleza mtu akajua kabisa mahitaji yake, kuliko ngendere zingine zinakurupuka tu funga solar ya watt 100, bila kuzingatia mahitaji ya mtu!
 
Muhimu angalia matumizi yako kwa mwezi in kWh (bongo wanaita units) kama ni chini ya 100 kwa mwezi, nunua plug in solar, ni very cheap (around 300-400$ from china) huhitaji hata electrician, nunua 800 watts,kwa jua la bongo itakupa at least 120kwh kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…