Nahitaji eneo la Ekari 20 Bagamoyo

Nahitaji eneo la Ekari 20 Bagamoyo

Mtu unanunua asset tiyari unataja inaenda kufanyia nini. Interesting
 
Na wewe una hekari 20 bagamoyo mjini au dalali tu?
Kuna uncle wangu ana heka 23, na kuna kipindi alitaka kuwauzia kanisa la Roman lakini ikawa ni mlolongo mrefu. Ndio maana nimekuuliza Wewe ndio unayetaka au ni mtu wa kati ?
 
Back
Top Bottom