martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
Asante ndugu, Ila hapana nahitaji eneo Dar es salaamSema Unahitaji Upo Mkoa, Wilaya, Kata, Kijiji
Mimi Nipo Kyerwa Mapori Tele Njoo Ufuge Uweke Hayo Mabanda
Nahitaji kufuga kuku wa kienyeji ndugu yanguUnataka kufuga kuku wa aina gani?