Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

Acha wauliwe shenzi type....
 
Pole sana mkuu binadamu ndo walivyo jitahidi kujipenda mwenyewe kipindi hiki cha mpito, usimtafute kabisa hata kwa bahati mbaya kisicho riziki hakiliwi. Situation kama yako nimeipitia naelewa unavyojisikia, muombe Mungu sana upate amani ya moyo. Huyo bazazi ipo siku atakukumbuka ila atakuwa amechelewa
 
Kama una mali isiyohamishika naomba uniuzie mapema kwasababu kuna uwezekano wa jamaa kukatisha uhai wako. Yaani vita utavipiga ila mwendo utakatishwa ni upumbavu wako wa kupenda gaidi la mapenzi.
 
Kama una mali isiyohamishika naomba uniuzie mapema kwasababu kuna uwezekano wa jamaa kukatisha uhai wako. Yaani vita utavipiga ila mwendo utakatishwa ni upumbavu wako wa kupenda gaidi la mapenzi.
😔😔
 
Asante mkuu ulifanyaje ukavuka ?
 
Hizo ni nyege tu mkuu. Tafuta mtu mmoja anae kufatilia mda mrefu, mpe nafasi akukaze kisawa sawa uone kama utaendelea kumfatilia huyo jamaa.
 
pole, tupe mrejesho, vipi uliweza kuachana naye? alikuomba msamaha?
 
hata mimi nmeshawahi kukimbizwa
Kwamba hasa manesi na Masingle maza duu!
daah sasa manes wanashida gani. na wanavojua kusemwa sasa
 
Nyie ndo wale mnaopendaga mablazamen ,..mwisho wa siku mkitendwa mnakuja mbio mnalia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…