Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

Pole njoo PM
 
Neno bar maids umerudia zaidi ya mara mbili ivi
Kwani wao sio wanawake mkuu
 
Kwamba mwamba kila akienda semina haachi kubeba panga na rungu?

Ama hua ananunua huko huko?

N.B Acha kukomaa kuvizia hizo hela real soldier kastuka atakumwaga ubongo.
 
Mapenzi yana nguvu jamani hata simshangai hii hali imeshawahi kunitokea na mimi
Yana nguvu sana mapenzi, maake kuna mtu unakuwa naye halafu kila ukikaa ukichanganya hesabu zako unaamini kuwa bila yeye wewe huwezi , ni balaa
 



Kwamba mwamba kila akienda semina haachi kubeba panga na rungu?

Ama hua ananunua huko huko?

N.B Acha kukomaa kuvizia hizo hela real soldier kastuka atakumwaga ubongo.
Soma thread uielewe mkuu! Siyo kwamba navizia pesa zake nilienda kikazi ( outreach program) mkoa anaofanya kazi kisanga ndo kilipotokea. Najiweza kiuchumi vizur tu
 
tuwasiliane
 
Njoo dm madam
 
Marehemu aliuwawa...chanzo ni wivu wa kimapenzi
 
Ni pm tuongee
 
Nasimama na huyo msela, nyie manzi wengi wenu mnakuaga maku sana sasa hiyo ndo dawa yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…