Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
gongo la mbotoFan ipo unapatikana upande gani wa dar
Kuna panga BOY dogo nahitaji 35,000 ni nzuri like NEWHabari wakuu
nahitaji feni iliyo katika hali nzuri isiyo na tatizo lolote
bei isizidi 35000, napatikana Dar es salaam
asante mkuu, nilikua nahitaji fan ya kawaidaKuna panga BOY dogo nahitaji 35,000 ni nzuri like NEW
gongo la mboto
wewe unapatikana wapi
Ipo apa ninayo bado mpya ongeza 5000 nikupe na hutojutia ela yakoHabari wakuu
nahitaji feni iliyo katika hali nzuri isiyo na tatizo lolote
bei isizidi 35000, napatikana Dar es salaam
naomba unitumie picha hapa au pmIpo tabata kimanga
bajeti hairusu mkuuIpo apa ninayo bado mpya ongeza 5000 nikupe na hutojutia ela yako
mkuu hii sawa, kesho tuwasilianeKitu na box icho toa 35000 ule upepo babuView attachment 1080058
mkuu hii sawa, kesho tuwasiliane
Nimenunua kwake moja Kwa elfu 35Muone huyu jamaa anazo,mpatane View attachment 1080164
Naomba ntumie picha pm!Kuna panga BOY dogo nahitaji 35,000 ni nzuri like NEW
Nicheki kwenye namba hii 0692947079