Mbona ulishatoa maelezo ya kutosha mkuu namimi nimekujibu vizuri Kwa ufupi. Ukitaka kujua vizuri sifa zake rejea maelezo yako.ahaa ok_kwaiyo hizi imara sana..?
ngoja nikazicheki_kuna flash nilinunuaga kariakoo 30k alafu ni GB 16 tu jamaa alinambia hutojuta kuinunuaKuna hawa watu wanaitwa oraimo aisee nilinunua earpods zao ni ngumu balaa na mziki hatari, Flash zao ndio flash yangu ya kwanza kukaa 2.5 years, na Hair cutz machine zao, Hii kampuni ni noma aisee kuna mtu anatumia kitu chochote cha oraimo athibitishe?
Kariakoo wacheki Discount Kubwa wanatazamana na Kituo cha Polisi cha Msimbazi - 0712202133Habarini waungwana
Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _
flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi
wajuzi wahayo mambo msaada plz
Kariakoo wacheki Discount Kubwa wanatazamana na Kituo cha Polisi cha Msimbazi - 0712202133
Ila kuna wakali wa hizi Kazi wapo Posta wanaitwa Lucky Digital ni WaYemen hao wacheki kwa 0763 042 553
Utapata Flash genuine
Hawa jamaa hadi charger zao balaa hujutii kabisaKuna hawa watu wanaitwa oraimo aisee nilinunua earpods zao ni ngumu balaa na mziki hatari, Flash zao ndio flash yangu ya kwanza kukaa 2.5 years, na Hair cutz machine zao, Hii kampuni ni noma aisee kuna mtu anatumia kitu chochote cha oraimo athibitishe?
Jaribu oraimo aisee flash yangu naazimisha sana ila iko imara vibaya mnongoja nikazicheki_kuna flash nilinunuaga kariakoo 30k alafu ni GB 16 tu jamaa alinambia hutojuta kuinunua
niliinunua 2020 imekuja kupotea 2024 . yule jamaa alieniuzia kashafunga duka
. ile flash ilikua ya silver na haikua najina sijui naipata wapi kama ile😭😭😭
Ndio Boss nauzakwamba unauza ama
Odinga kaipitia hiyoHabarini waungwana
Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _
flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi
wajuzi wahayo mambo msaada plz
Discount kubwa bado wapo? Wasomali flan hivi nishanunua kompyuta kwao zaidi ya mara 5, wako vizuriKariakoo wacheki Discount Kubwa wanatazamana na Kituo cha Polisi cha Msimbazi - 0712202133
Ila kuna wakali wa hizi Kazi wapo Posta wanaitwa Lucky Digital ni WaYemen hao wacheki kwa 0763 042 553
Utapata Flash genuine
Kanunue flash acha mikwara wewe, ungekuwa unahitaji kitu cha thamani na maana ungeulizia hard disk.Habarini waungwana