Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri

Ongeza hela tafuta hizi Portable External Drive yenye storage type ya SSD au NVMe kuanzia hata 250 GB na kuendelea ni mfuko wako tu..
 
Mimi ni mtuniaji wa chaji zao yaani ni mkataba Oraimo ni moto wa kuotea mbali hasa masikini
 
Kwasasa tafuta "KIOXIA" zinafanya vizuri sana
Hizi "San disk" na "HP" fake zimejaa sana na hao kampuni ya TJ AU kamaghe walikua poa ila kwasasa USB zao zinaganda sana wakati wa kukopi file(sana sana zachuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…