Nahitaji flat led tv ya inches 40,42 au 43 brand new ...gharama isizidi laki 6 kamili..

Nahitaji flat led tv ya inches 40,42 au 43 brand new ...gharama isizidi laki 6 kamili..

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Kama bandiko linavyijieleza naitaji flat tv LED tv MPYA inatosha aina iwe sony, Samsung, lg au tcl...gharama isizidi laki sita kamili.. Nipo dar namba zangu 0626 366465...narudia hakikasha hiyo tv iwe mpya.. Shukran
 
Mwinjuma1 upo mkoa gani kama upo dar nenda mtaa wa agrey au Uhuru TV zipo mpya wauzaji ni wawakilishi wa kampuni ulizotaja iwe Sony, Lg au Sumsung lakini pia bei ya jumla kwa sumsung mpya ilikua 550,000 inch 32 nadhani sasa hivi bei itakua imepanda na bei hiyo ni kwa anaenunua nyingi akauze reja reja itakua zaidi...
Ushauri usinunue mpya mtaani nenda Dukani kama unataka mpya Fanya window shopping kama hela haijatimia endelea kuchanga upate unachohitaji kuliko kupata ya ajabu na kukosa radha halisi ya Picha bora...
 
Nawewe acha utoto utapata wapi TV kubwa kwa pesa hiyo
Amekujibu vema sana
Tengeneza yakwako ili ujiuzie mwenyewe
Umemuaidi mwanachuo wa Mwaka wakwanza TV pesa huna pole

Mkuu kuuliza sio ujinga anaeuliza anapata Elimu ya jinsi ya kujipanga kuliko akataka kununua hiyo TV kwa bei hiyo mtaani akachanganyiwa madesa...
 
Tafuta mtumba smart TV na sio hiyo unayotaka kwa bei hiyo. Utanishukuru baadae
 
Back
Top Bottom