Mwinjuma1 upo mkoa gani kama upo dar nenda mtaa wa agrey au Uhuru TV zipo mpya wauzaji ni wawakilishi wa kampuni ulizotaja iwe Sony, Lg au Sumsung lakini pia bei ya jumla kwa sumsung mpya ilikua 550,000 inch 32 nadhani sasa hivi bei itakua imepanda na bei hiyo ni kwa anaenunua nyingi akauze reja reja itakua zaidi...
Ushauri usinunue mpya mtaani nenda Dukani kama unataka mpya Fanya window shopping kama hela haijatimia endelea kuchanga upate unachohitaji kuliko kupata ya ajabu na kukosa radha halisi ya Picha bora...