McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
kama heading ilivyo hapo budget yangu ni 400000 tshs iwe iko poa haina tatizo i dont care much about brand names except mchina wa ajabu mfn landrover etc.
Pm ukiwa tayari kwa kuuza.
Kama heading ilivyo hapo budget yangu ni 400000 Tshs iwe iko poa haina tatizo i dont care much about brand names except mchina wa ajabu mfn landrover etc.
PM ukiwa tayari kwa kuuza.
Me ninayo Panasonic VIERA used complete imported from UK bei 650,000
Msalie Mtume bei gani utaniuzia maana umeona budget yng ilivyo mamakibunju
Km waitaji samsung sema nikutumie no umtafute m2 wa masoko akuleteee