Nahitaji flat tv ya inchi 32 bajeti yangu ni 350.

Charlie chaplin

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
336
Reaction score
314
Mtu yeyote mwenye flat tv ya inchi 32 nzuri anicheki pm nipo Arusha hii ni biashara ya leo tu ikifika kesho hakuna biashara tena
Bajeti ni 350.
 
njoo nikuuzie samsung 32 inches LED ila stand yake nilipoteza wakati wa kuhama hivyo nitakupa chuma za kuifunga ukutani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…