Nahitaji football livescore App yenye sifa kama hizi

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
905
Reaction score
1,002
Habari wakuu,

Ukitoa livescores. biz website gani nyingine inayotoa DETAILS zote za mchezo (live matches) kama ATTACK, BALL POSSITION, SHOTS ON TARGET, CORNERS n.k?
 
Habari wakuu,

Ukitoa livescores. biz website gani nyingine inayotoa DETAILS zote za mchezo (live matches) kama ATTACK, BALL POSSITION, SHOTS ON TARGET, CORNERS n.k?
All football inazo hizo sifa zote. Na ligi zote duniani unaona, unachagua club unazotaka, nchi unayotaka na kunapokuwa na match za aina hiyo inakupa notifications hata kama ulisahau
 
All football inazo hizo sifa zote. Na ligi zote duniani unaona, unachagua club unazotaka, nchi unayotaka na kunapokuwa na match za aina hiyo inakupa notifications hata kama ulisahau
Nenda play store ukiandika tu all football inakuja, download, install then enjoy
 
Tumia 777score.mechi inaendelea huku unapata takwimu husika.
 
Wakuu mi nahitaji website na siyo app!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…