Unauza Bei gani?kama upo dar hata kesho naweza kukuletea,
yapo kuanzia laki 3 na kuendelea yote ni usedUnauza Bei gani?
Unataka ya lita ngapi? naweza kukutafutia tukikubaliana maana mimi ni dalaliNdio nipo Dar..Mbezi beach....weka picha na bei...tufanye biashara...usisahau contacts
Bei gani?zote ni used ziko fresh unapew na Mwwz mmoja warrntView attachment 2669549View attachment 2669550
hilo ni 350 mkuuBei gani?