A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
HahaaaaKama wewe siyo mchagga Wala Mpare usifanye biashara Moshi. Utapigwa vita Hadi ukimbie
Hello, habarini za kutwa wapendwa,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninauhitaji na fremu kwa ajili ya duka la kuuzia nguo na viatu kwa Moshi mjini, kama nitapata maeneo ya kuanzia stendi, double road, haya maeneo ya NMB Mandela, na soko la kati nitashukuru zaidi, naomba kama kuna anaefahamu mahali naweza kupata basi anitumie ujumbe mfupi inbox yangu
Natanguliza shukrani zangu, na niwatakie sikuku njema
Asanteni sana
Mkishampangisha wanaibuka ndugu wengine kudai hawautambui huo Mkataba wa upangishaji. Kwa kifupi mmeshapangana tayari.karibu
0672701329...........................mbuyuni zipo 4 . mjini kati zipo mbili ... dar street za kutosh a
mkataba una sainiwa kwa mwenyekiti wa mtaa na mhuri wake unakuwapo.....................sema issue kuna kitu inaitwa kiremba wenye fremu wanaweka kama kishika uchumba.................issue anayo fanya dalali ni kuzuia hiyo...................................mkataba unasainiwa kwa mwenyekiti wa mtaaMkishampangisha wanaibuka ndugu wengine kudai hawautambui huo Mkataba wa upangishaji. Kwa kifupi mmeshapangana tayari.
mwenyekiti ni basis ya mkataba.................wengi tuuu mbona tuliwapeleka kwa wenye viti kusainisha mikataba then now wanaendeleza majukumu yaoMkishampangisha wanaibuka ndugu wengine kudai hawautambui huo Mkataba wa upangishaji. Kwa kifupi mmeshapangana tayari.
ndugu una swali lingine mwananchi ?Mkishampangisha wanaibuka ndugu wengine kudai hawautambui huo Mkataba wa upangishaji. Kwa kifupi mmeshapangana tayari.
nipo ndugu...we sema unahitaji nini ili ukipata kwenye kusaini mkataba , ukasainiwe kwa mweny ekiti wa mtaa..............hii yote ni kuonyesha uaminifu....na sio utapeliMadalali wa vyumba huko Moshi watakuwemo humu kweli?
Vipi huyo jamaa umeishamtafutia fremu anayohitajinipo ndugu...we sema unahitaji nini ili ukipata kwenye kusaini mkataba , ukasainiwe kwa mweny ekiti wa mtaa..............hii yote ni kuonyesha uaminifu....na sio utapeli
NIMESHA MTEXT INBOX KAMA ALIVYO TAKA , ILA BADO YEYE HAJA REPLY ..ITAKUWA BADO HAJAINGIA ONLINEVipi huyo jamaa umeishamtafutia fremu anayohitaji
Hata Arusha the sameKama wewe siyo mchagga Wala Mpare usifanye biashara Moshi. Utapigwa vita Hadi ukimbie