Kuna moja ninalo laki mbili na nusu nitakuletea pichaWakuu, kama Tangazo linavyojieleza ninahitaji kununua aina hiyo ya fridge kwa matumizi yangu binafs, nakaribisha yoyote mwenye nalo kwa mazungumzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
weka bei mkuu