Nahitaji fundi mzuri wa kuflash simu

Nahitaji fundi mzuri wa kuflash simu

kekule benzene

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
1,444
Reaction score
3,576
Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash.

Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa.

Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi.

Pesa ipo mfuko wa shati

kyocera_basio_3.png
 
Rudisha simu ya watu.....acha kuflash document za watu wewe
😂😂😂😂 Hamna mkuu simu ya mtu namjua anayo mwaka sasa

ilikuwa inazingua nikaamua kuirestore, sasa baada ya kuirestore simu inataka email ya zamani na jamaa kichwa maji hata email yake hakumbuki.

Siye kila anayeflash simu ni mwizi
 
Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash.

Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa.

Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi.

Pesa ipo mfuko wa shati

View attachment 2803792
Mkuu sio siri hapo mmeyakanyaga na rafiki yako.
 
Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash.

Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa.

Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi.

Pesa ipo mfuko wa shati

View attachment 2803792
Tuchekiane next week uilete Aggrey
 
Back
Top Bottom