kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
๐๐๐๐ Hamna mkuu simu ya mtu namjua anayo mwaka sasaRudisha simu ya watu.....acha kuflash document za watu wewe
Duuh simu yangu wanipangie๐๐๐Nasikia kuflash ni kosa kisheria
Mkuu sio siri hapo mmeyakanyaga na rafiki yako.Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash.
Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa.
Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi.
Pesa ipo mfuko wa shati
View attachment 2803792
Kwa nini mkuu?Mkuu sio siri hapo mmeyakanyaga na rafiki yako.
Shida ni brand mkuu, wengi wa mafundi unakuta hawajawai kutana nayo, na community support yake ni ndogo sana.Kwa nini mkuu?
Tuchekiane next week uilete AggreyHabarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash.
Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa.
Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi.
Pesa ipo mfuko wa shati
View attachment 2803792
OkTuchekiane next week uilete Aggrey