Nahitaji fundi pikipiki

kocha Nabi

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2022
Posts
709
Reaction score
1,881
habari wakuu,
nahitaji mwenye kumfahamu fundi pikipiki anayetafuta ajira, mwenye uzoefu na pikipiki za boxer na tvs. location dar es salaam, karibu na mjini sio nje ya mji.
ofisi ni mpya na ni kubwa kiasi kuhusu chakula na kulala kama anatoka nje ya mji juu yangu. aliye na interest tufanye maongezi.
 
Kuna jamaa yangu ni mwamba kweli kweli wahzo kazi. Nikisema mwamba ni mwamba kweli yupo Bukoba kama unaweza nijibu nikupe mawasiliano myajenge maana yeye hajaoa bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…