Acha kuwanyima wenzako riziki mtumishi, tafuta architect akuchoree umpe pesa ya kusukuma siku mbele. Asa hiki ulichochora sijui hata ni kitu gani, hizi ni taaluma za watu si kila mtu anaweza akafanya tu from no where. Punguza ubahili mtumishi wa bwana[emoji4]
Utakua unajisaidia kwa jirani? mbona choo hamna sasa [emoji4]
Kumbe unajenga kanisa? Kwa mtindo huo wa ujenzi hilo kanisa limekaa kama kitega uchumi flani hivi... Maana nyumba ya mchungaji haichezi mbali na ofisi na kanisa lenyewe.
Ila mzee mchungaji baba umesahau kuweka kaToilet hapo kwenye mjengo. Sawa waumini watajisaidia kivyao, ila wewe na mama mchungaji itakuwaje?
hahahhahahaha we jamaa burudani toshaKumbe unajenga kanisa? Kwa mtindo huo wa ujenzi hilo kanisa limekaa kama kitega uchumi flani hivi... Maana nyumba ya mchungaji haichezi mbali na ofisi na kanisa lenyewe.