kianja kyamutwara
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 200
- 206
kama mada ilivyo,
Ninaitaji fundi mzuri wa kuezeka nipo Dar Bunju kama yupo humu nicheck PM tuyajenge
Ninaitaji fundi mzuri wa kuezeka nipo Dar Bunju kama yupo humu nicheck PM tuyajenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hizi kofia na valley wanazotengeneza mafundi zina shida gani?Kuna fundi mmoja aliniezekea jengo langu, kitu kizuri kimesimama; kama utahitaji No. nitakupatia, anatokea Morogoro. popote pale anafika kwa makubaliano. Jitahidi kofia na zile valley wakutengenezee kiwandani
Mkuu Anaitwa fundi nani na mifano ya picha za mapaa alizopaua?Kuna fundi mmoja aliniezekea jengo langu, kitu kizuri kimesimama; kama utahitaji No. nitakupatia, anatokea Morogoro. popote pale anafika kwa makubaliano. Jitahidi kofia na zile valley wakutengenezee kiwandani
Utakutana na fundi maikokama mada ilivyo,
Ninaitaji fundi mzuri wa kuezeka nipo Dar Bunju kama yupo humu nicheck PM tuyajenge
Anaitwa imma, yupo kwenye ujenzi zone na mitandao mingine; atakutumia kazi alizofanyaMkuu Anaitwa fundi nani na mifano ya picha za mapaa alizopaua?
Hazina shida, ila zinakuwa hazijanyooka vizuriKwani hizi kofia na valley wanazotengeneza mafundi zina shida gani?
Kama una hela ya kutosha mtafute huyu,kama mada ilivyo,
Ninaitaji fundi mzuri wa kuezeka nipo Dar Bunju kama yupo humu nicheck PM tuyajenge
Baadhi ya kazi zakeKama una hela ya kutosha mtafute huyu,
Jina la insta Maclean mbukwa (0719 552613)
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]unyama mwingi sanaaaCheki UNYAMAA huo..View attachment 2086065
kama mada ilivyo,
Ninaitaji fundi mzuri wa kuezeka nipo Dar Bunju kama yupo humu nicheck PM tuyajenge
Mkuu tutumie kazi zake tafadhaliUpo bunju ipi mkuu? Nipo bunju pia na Kuna fundi yupo bunju pia tuwasiliane nitakuonyesha na kazi zake hutajuta.
AsanteAnaitwa imma, yupo kwenye ujenzi zone na mitandao mingine; atakutumia kazi alizofanya
Gharama zake vipi mkuuAnaitwa imma, yupo kwenye ujenzi zone na mitandao mingine; atakutumia kazi alizofanya
Ndio huyu huyu nilikua namaanisha pia naomba uwasiliane naye mwenyewe atakutumia kazi zake nyingi, na bei zake ni rafiki Sana 0621 045011.
Asante mkuuNdio huyu huyu nilikua namaanisha pia naomba uwasiliane naye mwenyewe atakutumia kazi zake nyingi, na bei zake ni rafiki Sana 0621 045011.