Nahitaji fundi wa kuezeka Bunju

Kuna fundi mmoja aliniezekea jengo langu, kitu kizuri kimesimama; kama utahitaji No. nitakupatia, anatokea Morogoro. popote pale anafika kwa makubaliano. Jitahidi kofia na zile valley wakutengenezee kiwandani
 
Kuna fundi mmoja aliniezekea jengo langu, kitu kizuri kimesimama; kama utahitaji No. nitakupatia, anatokea Morogoro. popote pale anafika kwa makubaliano. Jitahidi kofia na zile valley wakutengenezee kiwandani
Kwani hizi kofia na valley wanazotengeneza mafundi zina shida gani?
 
Upo bunju ipi mkuu? Nipo bunju pia na Kuna fundi yupo bunju pia tuwasiliane nitakuonyesha na kazi zake hutajuta.
 
weka mawasiliano yake tubonge nae ili tufanye kaz na kama kuna kazi ambazo ameishafanya ni vizur ukatupia ili kujenga imani maana mafundi wengine shida unamleta anakuambia mm nikonk akishaharibu nduki hao hapana
 
kama mada ilivyo,

Ninaitaji fundi mzuri wa kuezeka nipo Dar Bunju kama yupo humu nicheck PM tuyajenge

Wasiliana nasi UVIMO CIVIL GROUP

Tutakufanyia kazi nadhifu sana,

Pia tutakuonyesha kazi zetu za video, na zingine tumefanya hapohapo bunju maeneo ya mingoi.

0629361896 -Kupiga
0753927572 -WhatsApp

Kazi inachukua siku chache, kambi inawekwa site hata kama mvua inanyesha Uvimo tutaondoka site baada ya kazi.

View attachment 2086082View attachment 2086084View attachment 2086083
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…