Mkuu kapicha kidogoZote sawa...
Wengi wamezoea kupaua style ya garble au dicotyledon.
Mkuu umepata au bado? na mimi nataka nitoe ushirikianoZote sawa...
Wengi wamezoea kupaua style ya garble au dicotyledon.
Ngoja niombe namba yake nikutumieSijapata bado mkuu...
Nimei request namba yake, ngoja nipewe nikusogezee fast.Hahhha naomba namba yake mkuu...
Weka na picha ya monocotyledon na dicotyledon itapendeza zaidiHii ya kwanza ndiyo monopitch au skillion roof
Ya pili ni Garble roofView attachment 1143360View attachment 1143361
0712305215 namba ya fundi mpigie uongee naehongera
0712305215 namba ya fundi mpigie uongee nae
sina kibanda mkuu..lol