Nahitaji fundi wa kushona nguo

Nahitaji fundi wa kushona nguo

MUST

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
107
Reaction score
65
Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo;
1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu
2. Kazi inafanyika KIMARA DSM
3. Nahitaji mafundi 2
4. Kazi inatakiwa kuanza jumatatu ijayo tarehe 21/10
5. Malipo ni makubaliano

Kwa muhitaji tuwasiliane kwa namba 0757120199
Mwisho wa kupokea maombi ni Jumamosi kesho
 
Asante kwa kuleta fursa hapa jukwaani, ubarikiwe na ufanikiwe.
 
Back
Top Bottom