Nahitaji fundi wa laptop

Nahitaji fundi wa laptop

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Laptop yangu aina ya Dell Inspiration touch screen, intel core i7, 15.6', 8GB RAM imepasuka kioo.

Ilianguka kisha nikawapa watu wa it office wakawapatia vijana wa field wameiharibu sasa nataka expert aniwekee screen mpya.

Kama yumo humu aniambie bei ya hiyo touch screen ni kiasi gani au kama mtu anamfaham naomba maelekezo.

Ahsante.
 
Nauza laptop na mimi
 
Waone Jointa Soft computers Wapo nyuma ya Ubungo plaza watakusaidia wacheki website yao google upate contacts zao
 
Back
Top Bottom