William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Na gari ndogo ya abilia Aina ya Rosa. Inasumbua Sasa kuzima gafla. Fundi moja amesema pump za umeme zinasumbua anasema nibadili. Ila bajeti inakuja m4+. Sijaelewa.
Nahitaji fundi aliyoko Kanda ya ziwa nipate ushauri ili tuje tufanye biashara.
Gari Ni manual gia lakini pumb ya umeme nashauriwa tutoe pumb.
Gari inamiaka miwili tu na Haina Safari nyingi Ni ya kukodisha tu