Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
M3? C au D? Kanunue boxerNahitaji Carina Ti ambayo
-Iwe haijawahi rudiwa rangi na haijawahi funguliwa box na Engine
- Ni namba C au D
- Iwe haijawahi pata ajali
Bajeti yangu ya kununua ni Mil 3
Carina kupaki ni uzembeMkuu hiyo bajet utapata iliyopaki
Na nadra kuijuta imepaki...hizi gari kanda ya ziwa ndo wanajua umuhim wakeCarina kupaki ni uzembe
Tuwekee picha mkuuMkuu nipe no zako nikutumie pic whatsap ziko 2 zanzibar kama utaweza kupakia
Siwezi kuweka picha hapa naona inasumbua nipm namba zako nikutumie whatsapTuwekee picha mkuu
Njoo PMNahitaji Carina Ti ambayo
-Iwe haijawahi rudiwa rangi na haijawahi funguliwa box na Engine
- Ni namba C au D
- Iwe haijawahi pata ajali
Bajeti yangu ya kununua ni Mil 3
Fuc the budget, hio hela utapata corrolla BNahitaji Carina Ti ambayo
-Iwe haijawahi rudiwa rangi na haijawahi funguliwa box na Engine
- Ni namba C au D
- Iwe haijawahi pata ajali
Bajeti yangu ya kununua ni Mil 3
Walishapita nayo kitambo mkuu
Ila sio kwa million 3Walishapita nayo kitambo mkuu