Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Habari wakuu!
Nina Mil 4, nahitaji Gari ya kutembelea siyo ya mizigo.
[emoji1314]Gari iwe na Cc kuanzia 990 hii iwe kuanzia namba C.
[emoji1314]Gari kuanzia Cc 1200 siangalii namba sana ila iwe nzuri.
[emoji1314]Iwe Ac inafanyakazi
[emoji1314]Iwe full document
[emoji1314]Isiwe na madeni
Nipo Moro town, unaweza kuja Pm na maelezo au kuweka hapa gari yako.
Mnunuaji ni mimi mwenyewe kwa matumizi yangu.
Pesa ipo active. Karibuni[emoji1317]