Nahitaji gari IST (1290Cc) ncp60

Nahitaji gari IST (1290Cc) ncp60

GOLOKO

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
270
Reaction score
696
Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rangi bajeti yangu 10.5M.

Sitaki iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali.
 
Nina TOYOTA IST

Inatoka Japan week ijayo.

Ungeongeza budget kidogo , angalau 1.5mil

EAPGES
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
WHATSAPP ONLY
+255 626 732 244
 
Nikidunduliza naweza kupata ikafika 11M ila zaid ya hapo ntatoka kamasi kwa kweli hali ngumu, kama unayo nzuri tusaidiane.

All men are brothers
Tumeweka mawasiliano yetu, WhatsApp unaweza kututumia message
 
Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rang bajet yangu 10.5M.

Sitak iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali
Kwa budget Yako Gari unapata vzuri cha msingi tulia Usiwe na papara tafuta Gari hata 5-10 na sanasana jaribu kuchek na owner Moja kwa moja, Ila kwa ushauri tu kwanini usiongeze hata ifike 13m uagize mwenyewe upate mkwaju wako mpya.
 
Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rang bajet yangu 10.5M.

Sitak iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali
Eti isiwe imerudiwa rangi!!

Baadhi ya wabongo bado washamba, hayo used toka nchi kama Japan yamerudiwa rangi sembuse haya used ya hapa Bongo!

IMG-20220827-WA0017.jpg
 
Huu ujinga hata huwa siuelewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hataki gari ambayo haijarudiwa rangi aagize mpya kutoka kiwandani.

Magari used yenye km nyingi yamerudiwa rangi kwenye nchi zilikotoka kama Japan, hata haya mapya yaliyotoka kiwandani kuna mengine yakifika hapa Bongo wahusika wanayapeleka kwenye rangi kuyabadilisha.

Aangalie magari ya mikoa ya Kaskazini utakuta gari ina zaidi ya mika 20 lakini ukiianglia unaweza sema imetoka Japan hivi karibuni.

Alafu kuna wengine wanaangalia namba, unaweza kuta hiyo yenye namba DZB ilishasajiliwa hapa Bongo labda kwa namba BZZ alafu.........
 
Kwa budget Yako Gari unapata vzuri cha msingi tulia Usiwe na papara tafuta Gari hata 5-10 na sanasana jaribu kuchek na owner Moja kwa moja, Ila kwa ushauri tu kwann usiongeze hata ifike 13m uagize mwenyew upate mkwaju wako mpya
Mpya how sema Used kutoka japenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom