Nahitaji gari la kukodi aina ya Toyota fortune new model, Toyota everest new model, Toyota Prado new model

Nahitaji gari la kukodi aina ya Toyota fortune new model, Toyota everest new model, Toyota Prado new model

Rwebo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
1,418
Reaction score
1,820
Tarehe 13 October 2022 nitakuwa na send off ya bint yangu. Mwenye gari la kukodisha aina hizo hapo juu na liwe rangi nyeusi tuwasiliane. Root itakuwa kutoa ukumbini (Baracuda Hall) Tabata Baracuda saa za asubuhi kwa ajili ya kupambwa gari.

Baadae jioni litamfuta Kimara Korogwe (salon) na kumpeleka ukumbini Tabata Baracuda na baadae kurejesha nyumbani Tabata kwa Swai baada ya sherehe saa 6.00 usiku.
 
Dah me nina guta(baiskel ya matairi matatu).....mkuu bibi harusi mtarajiwa atakaa vzuri,,nitamfkisha salama ukumbn na kumrudsha salama sehemu husika.
Nina leseni ya udereva class c with ten years working experience.
Nilisoma kozi ya kuwaendesha ma-VIP pale NIT-mabibo na kufaulu vizuri sana.
 
Tarehe 13 October 2022 nitakuwa na send off ya bint yangu. Mwenye gari la kukodisha aina hizo hapo juu na liwe rangi nyeusi tuwasiliane. Root itakuwa kutoa ukumbini (Baracuda Hall) Tabata Baracuda saa za asubuhi kwa ajili ya kupambwa gari.

Baadae jioni litamfuta Kimara Korogwe (salon) na kumpeleka ukumbini Tabata Baracuda na baadae kurejesha nyumbani Tabata kwa Swai baada ya sherehe saa 6.00 usiku.
Ingia insta search tzwedding cars utapata package kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20221004-193602_Instagram.jpg
    Screenshot_20221004-193602_Instagram.jpg
    102.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221004-193630_Instagram.jpg
    Screenshot_20221004-193630_Instagram.jpg
    86.1 KB · Views: 13
Back
Top Bottom