Mbona mleta uzi yupo specific unataka kumtoa kwenye reli?Weka ofa yako magari yapo,benzi,hammer
Ingia insta search tzwedding cars utapata package kabisaTarehe 13 October 2022 nitakuwa na send off ya bint yangu. Mwenye gari la kukodisha aina hizo hapo juu na liwe rangi nyeusi tuwasiliane. Root itakuwa kutoa ukumbini (Baracuda Hall) Tabata Baracuda saa za asubuhi kwa ajili ya kupambwa gari.
Baadae jioni litamfuta Kimara Korogwe (salon) na kumpeleka ukumbini Tabata Baracuda na baadae kurejesha nyumbani Tabata kwa Swai baada ya sherehe saa 6.00 usiku.
Ingia insta search tzwedding cars utapata package kabisa
Kukodi mkuuBei ya kukodi au kununua