Nahitaji gari raum inayouzwa 5.5M

Nahitaji gari raum inayouzwa 5.5M

Bexb

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
715
Reaction score
1,619
Habari ya mchana wajumbe. Ninahitaji gari ya raum ile ambayo kwa hapa nchini tumeipachika jina la new model. Bajeti iliyopo ni 5.5 lakini inaweza kupanda kidogo sana.

Kama unalo tafadhali naomba tuwasiliane kwa 0755965775 calls/WhatsApp nije nikague nilipie.

Shukrani
 
Wewe ndio mnunuzi au Dalali?
 
Naona wajuzi hawajafika bado,ntarudi badae kidogo.....
 
Back
Top Bottom