Wewe ndio mnunuzi au Dalali?Habari ya mchana wajumbe. Ninahitaji gari ya raum ile ambayo kwa hapa nchini tumeipachika jina la new model. Bajeti iliyopo ni 5.5 lakini inaweza kupanda kidogo sana.
Kama unalo tafadhali naomba tuwasiliane kwa 0755965775 calls/WhatsApp nije nikague nilipie.
Shukrani
haswaaaJF haikosi wadau. Tuendelee kusubiri