Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naitaji Gari tajwa hapo juu
Bajeti yangu ni shilingi Milion 7 Cash
Mwenye nalo anidm
Gari liwe zima, linatembea, halijapata Ajali
zingatia sana ushauri waliokupa wadau hapo juu usije kuingia mkenge.
kwa hiyo bajeti yako labda ununue IST au Vitz ndio itakuwa kwenye hali nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app