hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Mar 22, 2020 #1 Nahitaji Gari tajwa hapo juu Bajeti yangu ni shilingi Milion 7 Cash Mwenye nalo anidm Gari liwe zima, linatembea, halijapata Ajali
Nahitaji Gari tajwa hapo juu Bajeti yangu ni shilingi Milion 7 Cash Mwenye nalo anidm Gari liwe zima, linatembea, halijapata Ajali
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,580 Reaction score 7,203 Mar 22, 2020 #2 Achana na hilo takataka utapata ugonjwa wa moyo tu na hivi bajeti yako ndogo utapata kimeo zaidi , ni ushaur tu
Achana na hilo takataka utapata ugonjwa wa moyo tu na hivi bajeti yako ndogo utapata kimeo zaidi , ni ushaur tu
Mzee Wa Kale Kabisa JF-Expert Member Joined Mar 25, 2018 Posts 2,621 Reaction score 4,322 Mar 22, 2020 #3 Mkuu kwa hiyo bei ni unaweza usipate au upate gari ambayo ni mbovu kupitiliza...
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 8,860 Reaction score 11,554 Mar 22, 2020 #4 zingatia sana ushauri waliokupa wadau hapo juu usije kuingia mkenge. kwa hiyo bajeti yako labda ununue IST au Vitz ndio itakuwa kwenye hali nzuri hp4510 said: Naitaji Gari tajwa hapo juu Bajeti yangu ni shilingi Milion 7 Cash Mwenye nalo anidm Gari liwe zima, linatembea, halijapata Ajali Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
zingatia sana ushauri waliokupa wadau hapo juu usije kuingia mkenge. kwa hiyo bajeti yako labda ununue IST au Vitz ndio itakuwa kwenye hali nzuri hp4510 said: Naitaji Gari tajwa hapo juu Bajeti yangu ni shilingi Milion 7 Cash Mwenye nalo anidm Gari liwe zima, linatembea, halijapata Ajali Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,652 Reaction score 4,972 Mar 22, 2020 #5 jerrybanks unaitwa huku
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Mar 23, 2020 Thread starter #6 mbu wa dengue said: zingatia sana ushauri waliokupa wadau hapo juu usije kuingia mkenge. kwa hiyo bajeti yako labda ununue IST au Vitz ndio itakuwa kwenye hali nzuri Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Thank you so much
mbu wa dengue said: zingatia sana ushauri waliokupa wadau hapo juu usije kuingia mkenge. kwa hiyo bajeti yako labda ununue IST au Vitz ndio itakuwa kwenye hali nzuri Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Thank you so much