Ndo bajeti yangu....n ni 2.5 not 2 please mkuuGari kwa milioni 2?
Kaka ebu nsaidie mileage ndo kitu gsn kaka maana me si mzoefuKwa uzoefu wangu gari utapata ila uande 1m nyingine kwa ajili ya kufanya hiyo gari isikusumbue,kwani kwa bei hiyo mengi yanakuwa ni magari yenye Mileage kubwa sana...
Mileage ni Kilometer au umbali ambao gari limetembea...