Nahitaji gari used

Nahitaji gari used

Luhama

New Member
Joined
Jul 2, 2022
Posts
3
Reaction score
1
Habarini wakuu.

Ninahitaji gari kati ya IST, Vitz, Swift na Suzuki Jimmy. Budget yangu ni 5.5. Sihitaji dalali, nataka niwasiliane na mmiliki moja kwa moja.

Asanteni.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ist mkuu itoe kwenye list
 
Nimefanikiwa kuongeza 500,000.
Kwa sasa ofa yangu ni 6m.
 
Habarini.
Bado ninahitaji gari used toka kwa mmiliki yeyote mwenye Vitz, Suzuki Jimny, IST au Suzuki swift.
Budget yangu ni 6m
 
Habarini.
Bado ninahitaji gari used toka kwa mmiliki yeyote mwenye Vitz, Suzuki Jimny, IST au Suzuki swift.
Budget yangu ni 6m
Mimi dalali na Suzuki swift na vitz new model kwa bei iyo
 
Unataka ya ...alikua anatumia mdada kaitwa na mumewe ulaya au ac unaganda, au boss kanunua range kaona hii ist itaozea ndani au gari kinanda ac kama uko urusi 😂😂😂😂 yani watu wanaoitwa madadali kumbaf zao
 
Back
Top Bottom