Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TuwasilianeHabari wanajf, msaada tutani mwenye kufahamu napoweza kupata mtu anayetoa gari kwa mkataba au kama muhusika yupo humu naomba anisaidie, experience ipo ya zaidi ya miaka miwili tutakubaliana mahesabu kulingana na projection zake.
Asante
Hivi mkataba ni miaka 2 au 3 ? ...Habari wanajf, msaada tutani mwenye kufahamu napoweza kupata mtu anayetoa gari kwa mkataba au kama muhusika yupo humu naomba anisaidie, experience ipo ya zaidi ya miaka miwili tutakubaliana mahesabu kulingana na projection zake.
Asante