Nahitaji gari ya mkononi

Nahitaji gari ya mkononi

zipumbovu

Member
Joined
Nov 27, 2023
Posts
22
Reaction score
344
Habari wakuu
Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10
Aina ya gari

Nissan dualis
Rumion
Crown

Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
 
1740750868198.png

tatizo lako unachungulia sana pesa yako. Haya nipe Mil 9, nakuachia milioni 1 ukapige mkono mmoja rangi.

Chuma haimjui fundi, full ac. Kitu cha mfaransa hicho, utaendesha wewe mpaka wajukuu.
 
Habari wakuu
Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10
Aina ya gari

Nissan dualis
Rumion
Crown

Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
Lipo na kupa na fundi bure hakikisha unakuwepo naye kwenye matembezi yako na misele mpaka utakapoliuza
 
Back
Top Bottom