Wakuu wasalaam,
Nahitaji gauge meter ya nissan hardbody niweze kuifiksi katika gari tajwa ,maana iliyopo ni kwamba mishale haisomi haifanyi kazi pia 'wiring' yake ipo corrupted, taa sign nazo haziwaki kwa hiyo inaendeshwa kimungumungu.
Please kwa aliye nayo anicheki fasta nijue cha kufanya.