Nahitaji gemu la karata la kucheza wawili mtandaoni

Nahitaji gemu la karata la kucheza wawili mtandaoni

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
668
Hello 👋🏼 tech geeks!

Kwanza nahitaji kujua michezo ya karata kama last card na robo sitini (informally: alba stin) inapatikana kwenye app stores na inaitwaje. Nimeona michezo kama poker, blackjack na rummy sasa sijui ni ipi hii.
Basi kwa anayeijua hiyo michezo miwili, last card hii ya kibongo au alba stin ambayo naweza kudownload na kucheza na mwenzangu online anijuze.

Thanks in advance 🙏
 
Msaada jina ls hili game
IMG_20210521_145217_854.jpg
 
Back
Top Bottom