Nahitaji girlfriend (17-24)

Abushiry

Member
Joined
Apr 2, 2020
Posts
91
Reaction score
75
Napenda kutoa Salam zang za dhat kwenu wanamemberz wa JF,,na Allah (mwenyezi MUNGU)atuepushe na janga hili la Corona....

Nkirud kwenye mada...naam

Mm ni kijana umri miaka 20,,npo DSM nasoma bado(chuo)..nimekua ktk mahusiano kwa mda kidogo but mm na mwenza wangu tuliachana miezi 3 imepta,na 7bu nyng zmefanya tumeachana ikiwemo wivu upande wake kwangu,bt kikubwa n dharau alokua ananfanyia maana kwao kidogo wamebarkiwa mkwanja..tuachana nayo hayo

Npo JF kumtafta mwenzangu wa kua nae katika mahusiano baada ya kukaa miez takriban mitatu single,,

Mwenza nnae muhitaj awe na sifa hizi
1.miaka 18-24
2.awe msafi
3.rangi yoyote,,itapendeza chocolate
4.asiwe na mtoto au kaolewa
5.elimu yoyote maana m sifat elimu nafata upendo wa kweli
6.kuhusu kimaisha n yeye tu awe mfanya biashara au yupo home tuu,,a don't care nahtaj really love not otherwise

Nawakilisha !! πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Wagalatia (Back Beachers) mnaniruhusu nichangie kuwawakilisha.
 
Maliza kwanza kusoma....halafu we unamiaka 20 unataka mpaka mtu wa 24 na mnajua kabisa sie tunakuwa fasta fasta au unataka kuwa kiben 10?
Kusoma ndo namalzia hvo,,stak kua kibenten bt nahitaji pia mtu wa karbu mwenye akili kmaisha
 
Na
Najua mkuu bt pia kuna mchango mkubwa ktk relationship na hasar zpo pia
Tuna 25 ila hatujawahi kuhusiana..and we live Confortably..
Nilipokua nina umri huo niliwekeza muda mwingi kusoma Falsafa na Saikolojia..Ilipofika 21 mwaka wote nikatumia kusoma habar za Mungu na Imani zake..
Now naweza kusema I'm ready kuingia huko maana niliyotaka kuyaweka kichwani nimetimiza.
Soma kwanza ufike malengo ya kukinoa kichwa then uingie kwenye uhusiano
Mbali na pesa ke wanapenda kichwa kilichojaa madini, Ndicho pekee nilichonacho maishani
 
Nimek Nimekupat kiongoz,, shukran sana
 
Mkuu, huko chuo hakuna mademu au hata mtaani kwako mpaka uje humu mademu mbona wamejaa tu kama maua wenzio hadi tunawablock au kuwakimbia tena mademu fresh kabisa kila idara
 
unahitaji mwanamke wa kuwa naye nyakati za shida na raha?
au unahitaji mwanamke wa kupumbuzana baadae muachane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…