Nahitaji girlfriend ambaye badae anaweza kuwa mke

kalanga

Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
79
Reaction score
69
nawasalimu wana jf wote.nahitaji girlfriend ambaye badae tunaweza kuwa mke na mume.vigezo awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,awe anaishi arusha au moshi.sichagui dini wala kabila.mimi ninaelimu ya chuo kikuu.interested ani pm.
 
duu hutaki gharama ya kusafiri safiri, tafuta hata wa mbali umhamishie huko kaka.wa hapo wote wana wenyewe
c unajua ukiona nyani mjini jua ana mwenyewe....
 
usije ukarogwa ukamuwaza au kumfikilia husninyo.la sivyo baibai.
 
kwani we ni shoga?...girlfriends are never married
 
toa cv yako uwasaidie watu katika maamuz
 
Kalanga bana!! Elimu ya chuo kikuu alafu post ipo incomplete hivo?? Dah!
 
Hivi kwanini mtu utafute mke kwa kutumia matangazo? Unashindwa kabisa kujitafutia mwenyewe mtaani kwenu, shuleni, kazini na maeneo ya mikusanyiko?
Hili bandiko lingekuwa la mdada ningeelewa cuz wengi wanakuwa overlooked!
 
.........lol....... Yupo busy saana.... mda wa ku mingle ni finyu saana....
 
Kalanga, nimekutafutia yupo Moshi mjini, lakina nae anaulizia fani yako ni nini?
 
Tembelea website ya badoo wa arusha moshi wengi tu lol
 
Daaah nimehama moshi juzi tu na kuamia same. Sijui nirudi ili nimalizane na jamaa??
 
Hivi kwanini mtu utafute mke kwa kutumia matangazo? Unashindwa kabisa kujitafutia mwenyewe mtaani kwenu, shuleni, kazini na maeneo ya mikusanyiko?
Hili bandiko lingekuwa la mdada ningeelewa cuz wengi wanakuwa overlooked!

umeongea kaka,huyu jamaa bana!!hata me ningesapot kama angekua mdada,,mwanaume huwez tangaza kua unatafuta mpnz.
 
Back
Top Bottom