mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
huwezi kupata girl friend anaye mjua Mungu ila mke!.
Hapo kwenye blue, ni kwambayeye anataka mahusiano ya casual...girlfriend!, na sio mchumba!...right?kama unataka mke ni PM faster hata mie sitaki mchezo nataka mume anaye mjua mungu ahha nshachoka na vi BF .....
Hapo kwenye blue, ni kwambayeye anataka mahusiano ya casual...girlfriend!, na sio mchumba!...right?
Hapo kwenye red, kwanini ujieleze hivyo?...hayo mtaweza kuongea mkiwa eneo la tukio kama itafaa!